0 Comment
MKuu wa Wilaya ya Ubungo Mh. Lazaro Twange amemuagiza Mkuu wa Polisi, Wilaya ya Kipolisi Kimara/Ubungo kuwatafuta na kuwakamata watu wote waliovamia na kuchoma moto Ofisi ya Afisa Mtendaji wa Mtaa wa Msewe, na kuteketeza Nyaraka na Samani zote za Ofisi hiyo. Tukio hilo la kuvamia na kuchoma moto ofisi hiyo limetokea majira ya... Read More