0 Comment
Jina langu ni Zabloni, naishi Dar es Salaam, ni kijana wa miaka 28, awali niliishi huko Mwanza pamoja na wazazi wangu ambao sasa ni wazee, huko maisha yalikuwa magumu sana kiasi kwamba hata kupata chakula ilikuwa ni tabu sana. Nakumbuka katika umri wangu mdogo nilikuwa naondoka asubuhi nyumbani na wazazi wangu na kwenda kufanya kazi... Read More