0 Comment
Wajumbe wa Jumuiya ya Wazazi Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Shinyanga Mjini wakitembelea Daraja la Chibe – Old Shinyanga. Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog Wajumbe wa Jumuiya ya Wazazi Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Shinyanga Mjini wameeleza kuridhishwa na ujenzi wa miradi ya madaraja katika kata za Chibe na Ibinzamata, wakisema... Read More