0 Comment
Waziri wa Nchi anayeshugulikia Mambo ya Ndani na Maendeleo wa Singapore Mhe. Dkt. Mohammad Faishal Ibrahim ameeleza dhamira ya Serikali ya Singapore kuendelea kushirikiana na Serikali ya Tanzania katika kuimarisha mapambano dhidi ya tatizo la dawa za kulevya nchini. Dhamira hiyo ilielezwa wakati wa mazungumzo ya uwili yaliyofanyika tarehe 11 Machi, 2025 jijini Vienna, Austria... Read More