0 Comment
SERIKALI kupitia Wizara ya Elimu Idara inayohusu Sayansi na Teknolojia imetengeneza mwongozo wa matumizi ya Akili Mnemba (AI) katika Taasisi zake za Elimu ya Juu ili iweze kuleta manufaa kwa watu wote. Imesema hakuna namna ya kusema kuzuia, badala yake wanatengeneza utaratibu wa kuhakikisha inatumika vizuri. Mkurugenzi wa Elimu ya Juu Prof. Peter Msofe... Read More