0 Comment
Na WAF, DODOMA Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, amesema, Serikali imechukua hatua madhubuti za kuhakikisha wazee na watoto wanapata huduma za matibabu bila vikwazo ya kifedha kupitia Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote ya mwaka 2023. Akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Conchesta Leonce Rwamlaza, aliyehoji ni lini Serikali itatunga... Read More