0 Comment
WATUMISHI WA AFYA BIHARAMULO WAPATIWA MAFUNZO YA HUDUMA ZA DHARURA KUKABILIANA NA UGONJWA WA MARBURG
Katika jitihada za kuimarisha uwezo wa utoaji wa huduma za dharura wakati wa mlipuko wa Ugonjwa wa Marburg, Wizara ya Afya kwa kushirikiana na Chama cha Madaktari wa Magonjwa ya Dharura Tanzania (EMAT) imeendesha mafunzo maalum kwa watumishi wa afya waliopo mstari wa mbele katika Hospitali ya Wilaya ya Biharamulo. Mafunzo haya ya siku tano... Read More