0 Comment
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika ziara yake kutembelea Soko la Jumbi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 24-2-2025, kuangalia mwenendo wa biashara na upatikanaji wa bidhaa katika soko hilo (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalumu... Read More