0 Comment
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha Miswada Miwili ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali ya 2024, leo tarehe 29, 2025 katika kikao cha pili cha Mkutano wa kumi nane wa Bunge hilo. Miswada iliyopitishwa leo ni pamoja na Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Mbalimbali (Na.3) wa Mwaka 2024 (The written Laws... Read More