0 Comment
TANZANIA tuna Kila sababu ya kushukuru kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika (Mission 300 AFRICA ENERGY SUMMIT) unaofanyika January 27-28/2025 katika Ukumbi wa Mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere JNICC Dar es salaam. Mkutano huu umekuja wakati muafaka ambao Tanzania imepiga hatua kubwa katika Suala Zima la Upatikanaji... Read More