0 Comment
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limemteua Kocha wa Singida Black Stars, Miguel Angel Gamondi raia wa Argentina kuwa Kaimu kocha mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ akichukua mikoba ya Hemed Suleiman ‘Morocco’ ambaye mkataba wake umesitishwa kwa makubaliano ya pande mbili. Taarifa ya leo Novemba 4, 2025 iliyotolewa na TFF... Read More



