0 Comment
Timu ya Simba SC ya Tanzania imepangwa katika kundi D la michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League) na itaanza kampeni zake kwa kukutana na Petro Luanda ya Angola, huku mechi za kwanza zikitarajiwa kuchezwa kati ya Novemba 21 hadi 23 mwaka huu. Ratiba rasmi ya michezo hiyo imetolewa na Shirikisho la Soka... Read More


