0 Comment
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Khamis Hamza Khamis amesema Serikali inaendelea na tathmni ya uwepo wa magugu maji katika Ziwa Victoria ili kupatia ufumbuzi changamoto hiyo. Mhe. Khamis ameliarifu Bunge jijini Dodoma leo Januari 31, 2025 wakati akijibu swali la Mbunge wa Geita Mjini... Read More









