0 Comment
Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Mhe. Riziki Pemne Juma amesema uanzishwaji wa Majikwaa ya uwezehaji wanawake kiuchumi katika shehia, kutasaidia kuwafikishia fursa mbali mbali wanawake na kwa wakati. Mhe Riziki ameyasema hayo wakati alipofungua mafunzo ya Uanzishwaji wa Majukwaa ya uwezeshaji wa wanawake kiuchumi kwa Masheha na Waratibu wa Mkoa wa... Read More










