0 Comment
Na Sophia Kingimali. KAIMU Mkuu wa Chuo Cha Ufundi Cha Furahika – Veta, Dkt David Msuya, amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan kwa ujio wa marais 25 katika Mkutano wa Nishati ‘Afrika Energy Summit’ambao umeanza, Januari 27, 2025 jijini Dar es Salaam kwani mkutano huo utaenda kufungua fursa nyingi... Read More










