ufanisi kwa mwaka 2025, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Bw. Hamza Johari, akizungumza katika kikao cha Baraza la Wafanyakazi kilichofanyika lililofanyika katika chuo Uongozi cha Mwalimu Nyerere (Mwalimu Julius Nyerere Leadership School) Kibaha mkoani Pwani leo Januari 24, 2025. Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Bw. Eliakim Maswi, ambaye alikuwa mgeni rasmi katika mkutano... Read More
*Yapata kiasi cha Sh.bilioni 63.27 ikilinganishwa na Sh.bilioni 30 zilizopangwa kupatikana Na Mwandishi Wetu MAMLAKA ya Masoko ya Mitaji na Dhamana(CMSA) imesema kuwa mauzo ya hatifungani ya benki ya Azania yamepata mafanikio ya asilimia 210.9,ambapo kiasi cha shilingi bilioni 63.27 kimepatikana ikilinganishwa na shilingi bilioni 30 zilizopangwa kupatikana. Aidha, asilimia 70 ya mauzo ya hatifungani... Read More
Kampuni ya Puma Energy Tanzania, imeshinda tuzo nne wakati wa usiku wa utoaji tuzo kwa wafanyabiashara waliofanya vizuri kwa mwaka wa fedha 2023/24! Tukio hili la kipekee lilifanyika wakati wa Usiku wa Hafla ya Utoaji Tuzo kwa Walipakodi lililofanyika katika ukumbi wa the Super Dome Masaki, Dar es Salaam, na kuhudhuriwa na Rais wa Jamhuri... Read More
DAR ES SALAAM *Watanzania asilimia 78.4 wameunganishwa na umeme *Uunganishaji umeme vijijini wafikia asilimia 100 *Vitongoji 33,657 vimefikiwa *Watanzania milioni 13.5 kusambaziwa umeme ifikapo 2030 *Rais Samia kinara wa matumizi ya nishati safi Kuelekea mkutano wa nishati wa wakuu wa nchi za Afrika, Tanzania imeweka historia kwa kuwaunganishia umeme wananchi kwa asilimia 78.4 ambapo kwa... Read More
Naibu Makamu Mkuu wa taaluma- utafiti na ushauri elekezi Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Prof. Razack Lokina akizungumza na wachina pamoja na wanafunzi wanaojifunza kichina kwenye maadhimisho ya mwaka mpya wa Kichina unaojulikana kama mwaka wa Nyoka. Na Mwandishi Wetu, Dodoma. Vijana nchini wamehimizwa kuendelea kuenzi utamaduni za kitanzania popote wanapokuwa na kutokuusahau asili ya... Read More
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali Mhe. Japhet Hasunga akizungumza na waandishi wa Habari baada ya kukagua ujenzi wa miundombinu ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa jijini Dodoma. Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali Mhe. Japhet Hasunga akielezea jambo mbele ya Wajumbe... Read More
Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Watu Wenye Ulemavu Zanzibar, Mhandisi Ussi Khamis Debe, amesema ushirikiano baina ya Taasisi za Serikali ya Muungano wa Tanzania (SMT) na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) zinazofanana katika majukumu umesaidia kuimarisha utendaji kazi wa Taasisi hizo, hasa katika kuwahudumia watu wenye ulemavu. Debe alitoa kauli hiyo wakati wa... Read More
Ashrack Miraji Fullshagwe Media Mkuu wa Wilaya ya Same, Mhe. Kasilda Mgeni, amewataka wanafunzi wa shule za sekondari wilayani humo kujiepusha na vitendo vinavyoashiria mmomonyoko wa maadili ikiwemo ushoga, usagaji, mapenzi kabla ya umri pamoja na utoro, akisisitiza kuwa mienendo hiyo inaweza kuhatarisha mustakabali wao na kupelekea kukatisha ndoto zao za kielimu. Akizungumza na wanafunzi... Read More
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Gerson Msigwa, akimsikiliza Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari Wakili Patrick Kipangula, alipozitembelea ofisi za Bodi hiyo leo tarehe 23 Januari, 2025, Mtaa wa Jamhuri Posta, Jijini Dar es Salaam.Bw. Msigwa amefanya ziara hiyo... Read More