0 Comment
Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Kundo Mathew, amegoma kuweka jiwe la msingi la mradi wa maji wa Vwawa-Mlowo uliopo Mkoani Songwe, unaotekelezwa na Mkandarasi Mzawa wa kampuni ya Current Construction Ltd ya Jijini Dar es salaam mpaka changamoto zilizopo zitakapo tatuliwa. Mhandisi Kundo amesema kuwa, changamoto hizo ni pamoja na kazii kufanyika chini ya kiwango... Read More











