0 Comment
*Zambia* Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, wakiongozwa na Mbunge wa Geita Mjini anayemwakilisha Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Constantine Kanyasu wako nchini Zambia katika ziara ya mafunzo kuhusu Uongezaji Thamani Madini. Mhe. Kanyasu ameambatana na wajumbe wengine watatu wa Kamati hiyo akiwemo Mhe. Ndaisaba Ruhoro, Mhe. Aleksia... Read More









