Mkoa wa Morogoro una mtandao wa Barabara wa kilometa 2,071.23, katika mtandao huo, Barabara kuu ni kilometa 849.43 na Barabara za mkoa ni kilometa 1,221.81. Read More
Huyu kocha mpya wa Yanga Pedro Goncalves amehudumu kama Mng’amuzi wa Vipaji, katika Klabu ya Sporting CP kabla ya kujiunga na Kituo cha kulelea vipaji cha Sporting CP kati ya mwaka 2000 hadi 2015. Kwa aina ya vijana waliopo Yanga kwa sasa wanaweza kukutana na urahisi wa kucheza kama wataonyesha uwezo wao hapa nawazungumzia kina... Read More
Kati ya vitu ambavyo vina pesa basi ni eneo la burudani hasa soka. Fikiria mishahara ya wachezaji kwasasa hapa Tanzania halafu kule Ulaya. Tanzania kwasasa kuna wachezaji wanalipwa pesa zaidi ya CEOs kibao nchini. Baada ya kufanya mageuzi ya kiuongozi, ni rasmi sasa Billionea Patrice Motsepe ambaye ni Rais wa CAF amedhamiria kuvifanya vilabu vya... Read More
BAADA ya kuandika rekodi akiwa na Yanga kwa kuipeleka makundi ya michuano ya CAF ikiwa imepita miaka 25 akiinoa timu hiyo katika msimu wake wa kwanza, kocha Miguel Gamondi amerudia tena akiivusha Singida Black Stars katika Kombe la Shirikisho Afrika. Misimu miwili iliyopita Gamondi aliivusha Yanga makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kuitoa El... Read More
SIMBA imeweka rekodi mpya baada ya kufuzu hatua ya makundi kwa mara ya saba katika miaka minane, lakini kama taifa kukiwa na rekodi nyingine kali ya kufanikiwa kuingiza timu nne kwenye michuano ya CAF kwa mara ya kwanza. Kuanzia mwaka 2018 Simba ilianza utawala wa soka la Tanzania kwenye michuano ya CAF na jana iliweka... Read More
Kwa mara ya kwanza kwenye historia, Ligi kuu soka Tanzania imeingiza timu 4 kwenye hatua ya makundi ya michuano ya CAF kwa ngazi ya klabu. Timu za Tanzania zilizofuzu kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu ni Simba SC na Yanga SC. Timu za Tanzania zilizofuzu kwenye Kombe la shirikisho Afrika msimu huu ni Azam... Read More
Simba na Yanga Wawasha Moto Afrika! Wamefuzu Makundi CAF Champions League 2025/26 – Lakini Ni Nani Atakayemaliza Kazi ya Mwisho? Mashabiki wa soka barani Afrika wameingia kwenye hamasa kubwa baada ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kutangaza rasmi majina ya timu zilizofanikiwa kufuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League)... Read More
“Kila mwana-Simba alikuwa na matumaini makubwa na Mpanzu msimu huu,na hii ni baada ya kuonyesha ishara za kuwa mchezaji muhimu msimu uliopita” “Msimu huu watu walitegemea moto,magoli na kiwango bora kutoka kwake kwani tayari ameizoea ligi ya Bongo na mazingira yote ila kila kukicha kiwango chake kinazidi kushuka” “Jumapili ndo alikuwa mchezaji mbovu kiwanjani, alipoteza... Read More
“Hii inaweza kuwa taarifa mbaya kwa mashabiki wa Yanga, baada ya mshambuliaji wa kikosi hicho, Clement Mzize, juzi kujitonesha jeraha la goti na huenda akafanyiwa upasuaji ili kumtibu” “Taarifa kutoka kambi ya Yanga, zililiambia Arena TV kuwa, Mzize amewatia hofu tena kwani juzi jioni katika mazoezi ya mwisho kuelekea kuikabili Silver Strikers, alijitonesha jeraha lake... Read More