0 Comment
KLABU ya Simba, jana Desemba 2, 2025 imetangaza kufikia makubaliano ya kusitisha mkataba na Meneja Mkuu, Dimitar Pantev pamoja na wasaidizi wake wawili. Uamuzi huo wa Simba umekuja baada ya Pantev kudumu klabuni hapo kwa takribani siku 61 sawa na miezi miwili pekee, kutokana na kutambulishwa Ijumaa ya Oktoba 3, 2025, kisha mkataba wake kusitishwa... Read More


