0 Comment
Mabingwa watetezi, Yanga SC wameibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Pamba Jiji FC ya Mwanza katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam. Mabao ya Yanga yamefungwa na beki Ibrahim Hamad Abdallah ‘Bacca’ dakika ya tano, viungo Mburkinabe Stephane Aziz... Read More