0 Comment
Nyota wa zamani wa klabu ya Simba SC aliyekiwasha msimu uliopita akiwa Yanga SC Clatous Chama anatarajiwa kufanya makubwa kwenye ligi kuu msimu ujao akiwa na Singida Black Stars. Kiungo huyo wa Kimataifa wa Zambia amejiunga na walima alizeti wa Singida na kuanza mazoezi rasmi siku ya jana. Mwamba wa Lusaka alifanikiwa kutwaa ubingwa wa... Read More