0 Comment
KIKOSI cha Simba kinatarajiwa kurejea kambini kesho Jumapili, Desemba 28, 2025 kuanza rasmi maandalizi ya kushiriki michuano ya Kombe la Mapinduzi 2026 yatakayofanyika Zanzibar. Hatua hiyo inaashiria mwanzo wa safari mpya kwa Wekundu wa Msimbazi katika moja ya mashindano muhimu ya maandalizi kabla ya kuendelea na majukumu mengine ya msimu. Baada ya mapumziko mafupi, wachezaji... Read More


