0 Comment
Na Mwandishi wetu, Ruvuma SERIKALI imetangaza kujenga vituo vya zana za kilimo nchi nzima na kuanza kugawa ruzuku ya mbegu za mahindi. Pia Waziri wa Kilimo mhe Husein Bashe (mb) amesena atakula sahani moja na wafanyabiashara vishoka wanaonyonya wakulima. Hayo yameelezwa leo katika muendelezo wa ziara ya kikazi ya Waziri Bashe akiwa Mkoani Ruvuma katika... Read More