0 Comment
Na Mwamvua Mwinyi, Bagamoyo Oktoba 10, 2024 Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendelea kuweka msisitizo katika kufungua uchumi wa mji wa kitalii wa Bagamoyo kwa kuboresha miundombinu ya barabara, ikiwemo ujio wa mradi wa barabara ya mabasi ya mwendo kasi kutoka Maktaba, Dar es Salaam. Aidha, Serikali imeahidi... Read More