0 Comment
Happy Lazaro,Arusha . Arusha .Watoto wenye mahitaji maalumu hususani wasiosikia (viziwi) wanakabiliwa na changamoto ya kutokuelewa darasani na kuishia kufeli kutokana na walimu wengi wanapofundisha kutokutumia lugha ya alama. Aidha changamoto hiyo imekuwa ikipelekea kiwango cha kufeli kwa watoto hao kuendelea kuwa juu kutokana na kutokuelewa chochote wanapokuwa darasani na hata kwa wazazi wake pia.... Read More