0 Comment
Na Mwamvua Mwinyi, Kibaha Disemba 22, 2025 Baadhi ya wananchi wa Mtaa wa Kidimu, Kata ya Pangani, Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha wanakabiliwa na uhaba wa maji safi na salama hali inayowalazimu kutumia maji ya mtoni, madimbwi na kununua maji kwa wananchi wenye visima kwa gharama kubwa. Wakazi wa eneo hilo akiwemo Hawa Mkongwa na Read More











