……………….. HALMASHAURI ya Mji Handeni mkoani Tanga imetoa mikopo yenye thamani ya Sh. milioni 531.1 kwa vikundi 127 vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu kwa mwaka wa fedha 2024/25, ikiwa ni utekelezaji wa agizo la serikali la kutenga asilimia 10 ya mapato ya ndani kwa ajili ya makundi hayo. Akizungumza katika hafla ya kukabidhi... Read More
………… Na Mwandishi Wetu Mbawe Mji Mpya Jogging Club imefanya matembezi ya jogging jijini Dar es Salaam kwa lengo la kuhamasisha wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura na kudumisha amani kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 29 mwaka huu. Akizungumza asubuhi hii mara baada ya kumaliza matembezi hayo, Mwanzilishi na Mweka Hazina wa... Read More
Tarehe 29.10.2025 siku ya Jumatano ni siku muhimu sana katika Taifa letu, ambapo Watanzania watatekeleza haki yao ya kikatiba ya kupiga kura kwa ajili ya kuchagua Viongozi watakao waongoza katika nafasi ya Urais, Wabunge na Madiwani. Jeshi la Polisi kupitia taarifa hii, lingependa kuwahakikishia wananchi na wageni watakao kuwa nchini mwetu kuwa hali ya usalama... Read More
MKURANGA, Pwani – Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mkuranga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdallah Ulega, amewataka wananchi wa Kijiji cha Tambani kujitokeza kwa wingi katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025, na kuwachagua wagombea wa chama hicho kwa nafasi zote.Akizungumza kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika Kijiji cha Mkonga, Ulega alisema ushindi wa CCM utawezesha... Read More
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, amesema CCM si chama cha maneno maneno bali ni chama cha vitendo, akisisitiza kuwa chama hicho kitaendelea kutekeleza ahadi zake kwa wananchi kwa vitendo. Dkt. Kikwete alitoa kauli hiyo jana jioni katika... Read More
SERIKALI imetoa hati za hakimiliki za kimila 580 kwa wananchi wa Kijiji cha Makibo, Kata ya Nyahua, Wilaya ya Sikonge mkoani Tabora kupitia Mradi wa Usimamizi Shirikishi wa Misitu ya Miombo (DSL-IP), unaoratibiwa na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), ili kuimarisha usalama wa milki za ardhi na kupunguza migogoro kati ya jamii na... Read More
Jeshi la Polisi nchini limetoa tamko rasmi kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ambapo wananchi wamehakikishiwa usalama na kwamba hakuna tishio lolote la kiusalama litakalozuia watu kupiga kura. Msemaji wa Jeshi la Polisi, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) David Misime, amesema mtu yeyote atakayethubutu kuvunja sheria, asilaumu kwa hatua za kisheria zitakazochukuliwa dhidi yake.
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali itaendelea kufanya kila juhudi kuhakikisha wadhamini katika sekta ya michezo wanapatikana, ili kukuza vipaji na kuinua ustawi wa michezo nchini. Rais Dkt. Mwinyi ameyasema... Read More