0 Comment
Watu watatu wanaosadikika kuwa ni majambazi wameuawa katika majibizano ya risasi kati yao na jeshi la polisi, baada ya kunaswa katika mtego wakijaribu kuteka magari ya abiria yanayotoka Kigoma kwenda mikoa mingine na kuiba mali za abiria ikiwemo simu, fedha na vitu vingine katika Kijiji cha Kigendeka wilayani Kibondo mkoani Kigoma. Kamanda wa Polisi mkoa... Read More