0 Comment
Bohari ya Dawa (MSD) imepongezwa kwa kuimarisha mnyororo wa ugavi wa bidhaa za afya mkoani Kagera, ambao umepunguza malalamiko ya upungufu wa bidhaa za afya mkoani humo. Pongezi hizo zimetolewa hapo jana tarehe 6/1/2025 na Katibu Tawala wa Mkoa huo Stephen Ndaki, wakati akizungumza na ujumbe maalum kutoka MSD uliomtembelea ofisini kwake, ukiongozwa na Mwenyekiti... Read More