0 Comment
Tanzania Yaondoa Marufuku ya Kibiashara kwa Malawi, Yafungua Milango ya Ushirikiano Mpya wa Kiuchumi
Dodoma, 2 Mei 2025 – Tanzania imetangaza rasmi kuondoa marufuku ya uagizaji wa mazao ya mimea kutoka Malawi, hatua inayofungua ukurasa mpya katika uhusiano wa kibiashara kati ya mataifa hayo jirani. Uamuzi huo umetangazwa wakati wa Mkutano wa Pamoja wa Mawaziri wa Tanzania na Malawi uliofanyika jijini Dodoma, ukiwaleta pamoja viongozi waandamizi wa sekta za... Read More