0 Comment
Na Mwandishi Wetu Michuzi Tv KAMPUNI ya Sahara Consult, kwa kushirikiana na Mastercard Foundation imetoa wito kwa wajasiriamali chipukizi wanaotumia teknolojia kutengeneza suluhisho kwenye elimu kutuma maombi yao kwenye awamu ya pili ya mradi wa ‘Mastercard Foundation EdTech Fellowship’. Nchini Wito huo umetolewa hivi karibuni na Mtendaji Mkuu wa Sahara Consult, Jumanne Mtambalike wakati wa... Read More