0 Comment
Na Nihifadhi Abdulla, Zanzibar WATU wanaosadikika ni askari jamii wamedaiwa kumpiga Mwanamke na kumsababishia majeraha sehemu mbalimbali za mwili wake. Akizungumza na mwandishi wa habari hizi huko Bwejuu Wilaya ya kusini Mkoa wa kusini Unguja mhanga wa tukio hilo (jina limehifadhiwa) amesema tukio hilo limetokea mnamo Desemba 24, 2024 siku ya mkesha wa kumbukizi za... Read More