0 Comment
Mwandishi Wetu . Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza ratiba ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwenye mikoa ya Ruvuma, Njombe, Songwe na Rukwa ambapo zoezi hilo litafanyika kwa siku saba kuanzia tarehe 12 hadi 18 Januari, 2025. Hayo yameanishwa kwenye hotuba ya Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi,... Read More