01/07/2025 0 Comment Tanzania Kuimarisha Mahusiano na Italia Kuendeleza Sekta ya Madini, Hususan kwa Teknolojia na Mitambo Rafiki kwa Mazingira.Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imejipanga kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia na Italia katika kuendeleza sekta ya madini. Read More Diplomasia, Fursa, Kimataifa, Madini, Miradi, Mpya, Serikali, Siasa, Tanzania, Teknolojia, Uchumi, Uwekezaji Diplomasia, Habari, Madini, siasa, Uchumi
12/31/2024 0 Comment WAZIRI MAVUNDE ASIMAMISHA UCHIMBAJI MADINI MTO ZILA KIJIJI CHA IFUMBO, WILAYANI CHUNYA-MBEYAWaziri wa Madini, Mh.Anthony Mavunde (Mb) amesimamisha shughuli za uchimbaji zilizokuwa zikifanywa na kampuni ya G & I Tech Mining Company Ltd kwa kipindi hichi cha masika mpaka pale tathmini ya mazingira itapokamilika. Read More Madini, Matukio, Miradi, Serikali, Siasa, Tanzania Habari, Madini, sheria, Uchumi
10/23/2024 0 Comment Serikali Kunadi Fursa za Uwekezaji Zilizopo Mkoani Rukwa – Dkt. KiruswaTathmini ya awali yaonesha uwepo wa madini katika eneo lenye ukubwa wa hekari 7,180 Sumbawanga, Rukwa. Read More Biashara, Elimu, Fursa, Madini, Miradi, Mpya, Serikali, Tanzania, Uchumi, Uwekezaji Habari, Madini, Uchumi