0 Comment
Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mizengo Pinda amefanya ziara katika Ndaki ya Kampasi ya Mizengo Pinda, Mkoani Katavi ikiwa ni mojawapo ya Kampasi za SUA kwa lengo la kujionea shughuli za maendeleo chuoni hapo. Mhe. Mizengo Pinda amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan... Read More