Wananchi wa Kata ya Mnadani Halmashauri ya Jiji la Dodoma walifanya usafi wa mazingira mita tano kuzunguka maeneo yao ya makazi na biashara ikiwa ni utekelezaji wa maelekezo ya serikali ya kila Jumamosi ya mwisho wa Mwezi. Read More
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania December 29, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya. The post Habari kubwa Magazetini Kenya leo December 29, 2024 first appeared on Millard Ayo.
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam December 29, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania. The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 29, 2024 first appeared on Millard Ayo.
Na. Coletha Charles, DODOMA Wananchi wa Kata ya Mnadani Halmashauri ya Jiji la Dodoma walifanya usafi wa mazingira mita tano kuzunguka maeneo yao ya makazi na biashara ikiwa ni utekelezaji wa maelekezo ya serikali ya kila Jumamosi ya mwisho wa Mwezi. Akizungumza wakati wa zoezi hilo la usafi, Mkuu wa Kitengo cha Usafi na Usimamizi... Read More
Wananchi wa wilaya ya Ludewa mkoani Njombe wameendelea kunufaika na matunda ya serikali ya awamu ya sita kwa kukabidhiwa vyombo vya usafiri ikiwemo piki piki pamoja na magari ya kubeba wagonjwa (AMBULANCE) kwenye vituo vyote vya kutoa huduma za afya wilayani humo. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa gari mpya ya kubeba wagonjwa kwa ajili ya... Read More
Ripoti ya vyombo vya habari vya Uhispania ilifichua msimamo wa nyota wa Barcelona Lamine Yamal kuhusu uwepo wake kwenye Spanish Super Cup. Lamine Yamal alikuwa amepata jeraha katika mechi ya timu yake dhidi ya Leganes. Katika Ligi ya Uhispania kwenye kiwango cha kifundo cha mguu. Mtandao wa Redio wa Catalunya uliripoti kuwa Lamine atakuwa tayari... Read More
Leo December 28 2024, Mtangazaji wa Clouds Media Sedou Mandingo maarufu Babuu wa Kitaa (@babuuwakitaa_tz) na Tasisi yake ya ‘Babuu Cancer Foundation’ kupitia Kampeni yao ya Saratani, wamefanikiwa kufanya matembezi ya furaha (Happy Walk) katika mitaa mbalimbali ya Jiji la Mwanza. Matembezi hayo yameongozwa na Mkuu wa wilaya ya Nyamagana Amina Makilagi, Wabunge Stanislaus... Read More
Wataalamu wa kimataifa katika sekta ya afya wanaamini kwamba wimbi la magonjwa katika eneo la mbali la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambayo ilikuwa imepewa jina la “Disease X”, limesababishwa na vimelea vya maradhi mbalimbali katika maeneo hayo. Shirika la Afya Duniani (WHO) lenye makao yake makuu huko Geneva, Uswisi limesema kuwa malaria, virusi vya... Read More
Rais wa Urusi Vladimir Putin siku ya Jumamosi alimpigia simu Rais wa Azerbaijan Ilham Aliyev kuhusu ajali ya ndege ya Azerbaijan Airlines iliyotokea wiki hii huko Kazakhstan, na akatoa pole na rambirambi. “Vladimir Putin aliomba radhi kwa tukio la kusikitisha lililotokea katika anga ya Urusi na kwa mara nyingine tena alitoa rambirambi zake za kina... Read More