Mwenyekiti wa Chipkizi Chama Cha Mapinduzi (CCM)Mkoa wa Morogoro Jeremia Kisena Mabuba amewataka wazazi na walezi kuwalinda watoto na vitendo vya ukatili hasa kipindi hiki Cha likizo na sikukuu. Mabuba amesema kuwa ataungana na Serikali ya awamu ya sita katika kuhakikisha wanakabiliana na vitendo vya kikatili wanavyofanyiwa watoto hasa wakiume ambao wanaonekana wamesahaulika katika jamii... Read More
Naibu Waziri, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki, Mhe. DENNIS L. LONDO (Mb.) amewataka watumishi wanaotoa huduma mipakani kufanya kazi kwa bidi, weledi na uadilifu. Mhe. Londo ametoa rai hiyo alipokuwa akiongea na watumishi wanaotoa huduma katika Kituo cha Utoaji Huduma kwa Pamoja cha Holili/Taveta, Wilayani... Read More
Southampton ilithibitisha kumwajiri Ivan Juric kama kocha wao mkuu siku ya Jumamosi kabla ya pambano lao na Fulham siku ya Jumapili. Juric anachukua nafasi ya Russell Martin, ambaye alitimuliwa baada ya kichapo cha 5-0 dhidi ya Tottenham Hotspur Jumapili iliyopita. Nimefurahi sana,” Juric alisema baada ya kusaini mkataba wa miezi 18. “Nadhani ni changamoto kubwa... Read More
Zaidi ya Watu milioni Mbili(2.5) nchini wamefikiwa na elimu ya uhifadhi na Utunzaji wa rasilimali za maji ambayo wamepatiwa na Shirika lisilo la Kiserikali la Shahidi wa Maji. Akizungumza katika hafla maalum ya kuwatunuki vyeti baadhi ya Wadau wa maji iliyofanyika Mjini Morogoro Mkurugenzi wa Shirika hilo Abel Dugange amesema kundi hilo limekuwa muhimu hasa... Read More
Washukiwa wawili ‘waganga wa kienyeji’ walikamatwa Lusaka, mji mkuu wa Zambia kwa madai ya kujaribu “kumroga” Rais Hakainde Hichilema, polisi walisema. Msemaji wa polisi Rae Hamoonga alisema katika taarifa yake siku ya Ijumaa washukiwa hao walikamatwa rasmi na kushtakiwa kwa kukiri ujuzi wa uchawi, kumiliki hirizi na ukatili kwa wanyama pori. “Washukiwa hao, waliotambuliwa kama... Read More
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linawashikilia watuhumiwa 56 ambao ni wafanyabiashara ndogondogo (Machinga) kwa tuhuma za kufanya fujo katika barabara ya Masika -Msamvu kwa madai ya kutokubali kuhama katika eneo hilo na kuhamia katika eneo lingine ambalo limetengwa na Serikali. Taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi Morogoro inasema watuhumiwa hao wamekamatwa baada ya kufanya... Read More
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Iringa imewashukuru walipa kodi kwa kuvuka lengo la ukusanyaji wa mapato kwa kipindi cha miezi 5 ambapo imekusanya kwa asilimia 106. Akizungumza katika hafla ya kutoa shukrani kwa mlipa kodi kwa kutimiza wajibu Kaimu Meneja wa TRA Mkoa wa Iringa Peter Eliona amesema kuwa lengo lilikua ni kukusanya... Read More
Wasanii wametakiwa kutumia sanaa kufikisha elimu ya namna ya kujikinga na magonjwa yasiyo ya kuambukiza yakiwemo ya moyo katika jamii inayowazunguka. Rai hiyo imetolewa leo na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge wakati wa kambi maalumu ya siku mbili ya tiba mkoba ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan inayofanyika... Read More
Jitihada Za Serikali ya awamu ya Sita ni kuhakikisha sekta ya elimu inaboreshwa na kutolewa kwa nadharia na Vitendo zaidi ili kuwarahisishia Wahitimu kuweza kujiajiri pindi wakimaliza masomo yao. Zaidi ya Wanafunzi 200 wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya kutokea Ndaki ya usanifu Majengo na Teknolojia ya Majenzi (coACT) wamefanya mafunzo ya Usanifu... Read More