Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo ameshiriki kwenye Mkutano wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi za Jumuiya ya Madola (Commonwealth Foreign Affairs Ministers Meeting – CFAMM) uliofanyika pembezoni mwa Kikao cha 79 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA79) tarehe 23 Septemba, katika... Read More
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwasilisha ujumbe wa Tanzania kwa Wakuu wa Nchi na Serikali kwenye Mkutano wa ngazi ya juu wa Wakuu wa Nchi na Serikali ‘Summit of the Future’ uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Umoja wa Mataifa New York nchini Marekani . *Apigia chapuo hifadhi ya mazingira, upatikanaji wa fedha na uhamishaji... Read More
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amesema kuwa upo umuhimu wa mataifa mbalimbali duniani kuboresha na kubadilisha mifumo ya kiutawala na ugawaji bora wa rasilimali ili kuwezesha utekelezaji wa Agenda ya 2030 ya Maendeleo endelevu kwa ufanisi zaidi. Dkt. Tulia... Read More
Tanzania imechaguliwa kuwa nchi ya kwanza na ya mfano katika utekelezaji wa mpango wa ushirikiano kati ya sekta binafsi na wakulima wadogo wa zao la kahawa. Read More