0 Comment
Naibu Waziri Mkuu Dkt. Dotto Biteko (kushoto) akisikiliza maelezo kutoka kwa Meneja Mawasiliano na Uhusiano wa Alaf Limited Tanzania, Hawa Bayumi (kulia) wakati wa ufunguzi wa Maonyesho ya Kimataifa ya Viwanda (TIMEXPO 2024) yanayoendelea katika Ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam. Na Mwandishi Wetu, Michuzi tv NAIBU Waziri Mkuu Dkt. Dotto Biteko ameelezea... Read More