0 Comment
Na. Mwandishi Jeshi la Polisi Arusha. Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema kuwa linapenda kutoa ufafanuzi juu ya taarifa inayosambaa katika Mitaandao na picha mjongeo ikimwonesha mwananchi mmoja aitwae Mercy Daniel Mkazi wa Arusha ambaye ameeleza kupotea kwa mmewake aitwae David Gipson Mkazi wa Arusha huku likiweka Wazi kuwa Mtu huyo ashirikiwi na Jeshi... Read More