0 Comment
Nchi ya Rwanda iko tayari kuanza majaribio ya chanjo na matibabu ya ugonjwa wa Marburg, Yvan Butera, waziri msaidizi wa afya alisema siku ya Alhamisi, huku taifa hilo la Afrika Mashariki likipambana na mlipuko wake wa kwanza wa homa hay ya virusi ambayo imewaua watu11. “Hii ni sehemu ya juhudi zetu za kusaidia watu kupona... Read More