0 Comment
MWANDISHI wa habari wa WazoHuru Media Ndg Mathias Canal amewata wananchi Mkoani Singida kuendelea kumuunga mkono Mbunge wa Jimbo la Iramba Magharibu ambaye ni Waziri wa Fedha Mhe. Dkt Mwigulu Lameck Nchemba kutokana na kazi nzuri anayoendelea kuifanya katika Taifa la Tanzania. Amewataka wananchi kumuombea, kumtia moyo na kumpa ushirikiano ili aweze kufikia adhma yake... Read More