0 Comment
Kocha wa zamani wa Chelsea na Everton Frank Lampard amezungumza kuhusu kibarua cha Uingereza. Lampard ni mojawapo ya majina mengi yanayohusishwa na kiti moto kilichoachwa na Gareth Southgate. Wakati Lee Carsley akiwa madarakani kwa muda, Lampard alikiri kazi hiyo ni ambayo ingemvutia kila Mwingereza katika usimamizi. Lampard alisema kwenye podikasti ya The Sports Agents: “Kama... Read More