0 Comment
Na Elinipa Lupembe Wananchi Mkoani Arusha, wametakiwa kuacha tabia ya kuharibu miundombinu ya maji inayopita kwenye maeneo yao badala yake kuitunza na kuilinda ili kuwa na uhakika wa huduma ya maji wakati wote. Rai hiyo imetolewa na Meneja wa Wakala wa Maji na Usafi wa Wa Mazingira Vijijini Mkoa wa Arusha, Mhandisi Joseph Emmanuel Makaidi,... Read More