0 Comment
Serikali ya Ureno imeripotiwa kuwa imetoa sarafu yenye picha ya sura ya Staa wa Taifa hilo Cristiano Ronaldo (39) kama ishara ya kutambua mchango wake katika Taifa hilo. Sarafu yenye sura ya Ronaldo inajulikana kwa jina la “CR 7” na thamani yake ni euro 7, serikali ya Ureno imefanya hivyo kwakuwa Ronaldo ndio Mchezaji... Read More