0 Comment
Siku ya Wafamasia Duniani, inayojulikana kama World Pharmacists Day, husherehekewa kila mwaka tarehe 25 Septemba na siku hii ni maalum kwa wafamasia ulimwenguni kote na inalenga kuongeza uelewa wa umma kuhusu jukumu muhimu la wafamasia katika huduma za afya. Akiongea mbele ya waandishi wa habari hii leo Sept 25,2024 katika ofisi za TMDA Dar es... Read More