0 Comment
Israel inaendelea kushambulia kwa mabomu Ukanda wa Gaza pamoja na Lebanon. Wizara ya afya inayoongozwa na Hamas katika Ukanda wa Gaza imeripoti kuuawa kwa watu 85 na wengine 104 kujeruhiwa kwa hatua za kijeshi katika muda wa saa 24 zilizopita. Haijawezekana kwa waandishi wa habari kuthibitisha kwa uhuru takwimu za majeruhi zinazotolewa wakati wa mzozo.... Read More