0 Comment
Singida Black Stars imekamilisha usajili wa aliyekuwa El Mahalla ya Misri, Raheem Shomary kwa kumsainisha mkataba wa miaka miwili kuitumikia timu hiyo huku mwenyewe akitaja sababu za kurudi Tanzania. Rahim ambaye alitwaa tuzo ya mchezaji bora Chipukizi msimu wa 2023/24 akiwa na KMC amerudi Tanzania baada ya kucheza nusu msimu nchini Misri ambapo alisaini mkataba... Read More






