0 Comment
Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), akizungumza wakati wa kikao na Uongozi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika Mashariki (EADB), ambacho kilizungumzia mambo mbalimbali kuhusu benki hiyo pamoja na kujadili fursa za ushirikiano kati ya Serikali na Benki hiyo hasa katika fursa za mikopo kwa taasisi za umma na sekta binafsi, kilichofanyika Read More






